價格:免費
更新日期:2018-09-07
檔案大小:3.8M
目前版本:1.3
版本需求:Android 4.4 以上版本
官方網站:http://www.swahilitech.net
Email:ibrahumud@gmail.com
Mawaidha TV ni app yenye mkusanyiko wa channel mbalimbali za dini zilizoko mtandaoni. App hii itakurahishia kupata channel husika ya dini katika kiganja chako cha mkono. Tunafahamu kuwa channel zipo nyingi mno, hivyo basi tutakuwa tunaongeza channel nyingine kidogo kidogo kulingana na uhitaji wa watumiaji wetu.